HabariMilele FmSwahili

Mfanyibiashara Humprey Kariuki aachiliwa kwa dhamani ya shilingi milioni 11

Mfanyibiashara Humprey Kariuki ameachiliwa kwa dhamani ya shilingi milioni 11  baada ya kufikishwa kotini mapema leo kwa kosa la kukwepa kulipa ushuru wa  shilingi milioni 41.

Mahakama pia imemwagiza Kariuki  kuwasilisha stakabadhi zake za kusafiri kotini. Kariuki alifikishwa mahakamani pamoja na washukiwa wengine 5 walioshtakiwa naye  kwa kukosa kutolipa ushuru  katika kampuni yake ya kutengeneza vileo

 

Show More

Related Articles