HabariMilele FmSwahili

Makachero 3 wa DCI wakamatwa na dola bandia Busia

Makachero 3 kutoka idara ya DCI wamekamatwa na wenzao eneo la Busia wakiwa wamebeba dola feki za kima cha shilingi elfu 410.

3 hao wanaohudumu kaunti ya Bungoma pia walikuwa na machine za kutengeneza noti feki za kiwango cha shilingi elfu 1 za humu nchini. 3 hao Joseph Kahindi, Ayub Waitiki na Alex Rasto Kiplimo walikamatwa baada ya umma kuwajilisha maafisa wa DCI kuwahusu. Kadhalika 3 hao wamepatikana na bastola 2 na risasi 15.

Show More

Related Articles