HabariMilele FmSwahili

Majambazi wavamia kanisa la Sakina mtaani Makongeni Nairobi na kuwaua waumini 2

Waumini wawili wa kanisa la Sakina Makongeni hapa jijini Nairobi wamepatikana wameuawa na majambazi waliovamia kanisa hilo na kutekeleza wizi usiku wa kuamkia leo. Inadaiwa wezi hao kadhalika wamefaulu kutoweka na thamani ya bidhaa zisilojulikana kwa kutumia gari aina ya van walilokuwa nalo. Maafisa wa polisi wamefika kanisani humo kuchukua miili ya wendazao huku msako dhidi ya wezi huo ukianza.

Show More

Related Articles