HabariMilele FmSwahili

Mahakama yatupilia mbali kesi ya kuzuia Thirdway Alliance na mabunge ya kaunti kujadili mswada wa punguza mizigo

Mahakama ya juu imetupilia mbali kesi iliyowasilishwa kuizuia chama cha Thirdway Alliance na mabunge ya kaunti kujadili mswada wa punguza mizigo.

Jaji John Mativo anasema kesi hiyo iliyowasilishwa na David Ngari maarufu Gakuyo haina uzito wowote.

Kinara wa chama hicho Dr Ekuro Aukot anadai kuwa kesi hiyo ilishinikizwa kisiasa.

Show More

Related Articles