HabariMilele FmSwahili

Mahakama ya Eldoret yadinda kumwachilia kwa dhamana Naftali Kinuthia

Naftali Kinuthia, mshukiwa mkuu wa mauaji ya aliyekuwa mwanafunzi wa chuo kikuu cha Moi, Ivy Wangechi amenyimwa dhamana. Akitoa uamuzi huu, jaji wa mahakama kuu ya Eldorer Stephen Githinji anasema ametilia maanani ripoti ya afisa wa polisi anayachunguza kisa hicho, ripoti ya afisa wa idara ya kurekebisha tabia  ambao walielezea sababu za kutoruhusu kuachliwa kwa dhamana mshukiwa kwa madai huenda ikahatarisha usalama wake.

Show More

Related Articles