HabariMilele FmSwahili

Mahakama imewafungulia mashtaka polisi 4 kwa madai ya kumuua dereva 1

Mahakama moja nchini Afrika Kusini imewafungulia mashtaka maafisa nane wa polisi nchini humo kwa madai ya kumuua dereva mmoja wa texi mwaka 2013.Jaji wa mahakama hiyo amesema kuwa maafisa hao walitekeleza mauaji ya mido Macia wa umri wa miaka 27 kimaksudi.Rais Jacob Zuma amekashifu kitendo hicho.

Show More

Related Articles