HabariMilele FmSwahili

Madaktari katika hospitali ya Kenyatta wafanikiwa kuunganisha mkono wa kijana wa miaka 18

Madaktari katika hospitali ya Kenyatta wamefanikiwa kuunganisha mkono wa kijana Joseph Thairu wa miaka 18 baada ya kuhifadhiwa kwenye jokovu kwa muda wa saa 10. Oparesheni hiyo ya iliyohusisha vitengo tofauti vya matibabu ilichukua muda wa saa saba.

Show More

Related Articles