HabariMilele FmSwahili

Mabunge ya kaunti ya Kakamega na Laikipia yatupilia mbali mswada wa Punguza Mizigo

Ni pigo tena kwa chama cha Thirdwaya Alliance kaunti za Laikipia na Kakamega zikiwa za hivi punde kutupilia mbali mswada wake wa punguza mizigo. Hata hivyo hatua hii haijamkera muasisi wa mswada huu Dr Ekuru Aukot ambaye anawalaumu wanasiasa.

Ikiwa zimesalia chini ya wiki mmoja kabla ya kukamilika makataa ya kujadiliwa mswada huu katika mabunge ya kaunti Aukot sasa anasema anatafakari hatua atakayochukua.

Kufikia sasa ni kaunti ya Uasin Gishu pekee ilioidhinishwa mswada huu unaolenga kufanyia katiba marekebisho kwa lengo la kupunguza baadhi ya nyadhifa za uongozi

Show More

Related Articles