HabariMilele FmSwahili

Lilian Omollo na washukiwa wengine 37 kujibu mashtaka ya sakata ya pili ya NYS ya milioni 167

Aliyekuwa katibu wa maswala ya vijana Lilian Omollo pamoja na washukiwa wengine 37 watalazimika kujibu mashtaka kuhusiana na sakata ya 2 ya NYS ya shilingi milioni 167. Ni baada ya mahakama kuruhusu upande wa mashtaka kuendelea na kesi hiyo. Shahidi wa upande wa mashtaka Joyce Nyamusi aliye naibu mkurugenzi wa idara ya usambazaji katika wizara ya kazi anatarajiwa kuendelea na ushadi wake leo.

Show More

Related Articles