BiasharaMilele FmSwahili

KNBS :Gharama ya maisha mwezi wa Januari yashuka kufikia asilimia 4.7

Kushuka kwa bei za vyakula hasaa unga wa ugali, mahindi, sukari na maharage mwezi  Januari ndio kumechangia kushuka gharama ya maisha mwezi na kufikia asilimia 4.7 ikilinganishwa na mwezi  Decemba ambapo gharama ya maisha ilikuwa asilimia 5.71. Takwimu kutoka taasisi ya idadi ya watu KNBS inaonyesha pia kushuka bei za mafuta kipindi cha mwezi Novemba na Decemba kulisaidia kushuka nauli kwa asilimia 1.4. kwa jumla gharama ya maisha imepungua kwa 0.13

Show More

Related Articles