HabariMilele FmSwahili

John Mbadi:Raila hatojiuzulu wadhifa wake katika NASA na ODM

Kinara wa NASA Raila Odinga hatojiuzulu wadhifa wake katika muungano wa NASA na chama cha ODM. Kiongozi wa wachache bungeni John Mbadi anasema uteuzi wa Raila kuwa mwakilishi maalum wa muungano wa Afrika wa miundo msingi ni  kikanda na wala sio Kenya pekee. Ni kauli ambayo imekaririwa pia na kiranja wa wachache Junet Mohammed.Junet anasema Raila anafaa kuungwa mkono na wakenya wote wakiwemo wapinzani wake wa kisiasa akisema wadhifa wake utafaidi Kenya.

Show More

Related Articles