HabariMilele FmSwahili

Jamaa wa miaka 19 amuua babake kutokana na mzozo wa chakula Kericho

Polisi wanamzuilia mwanamume wa miaka 19 kwa kumuua babake baada ya kuzozania chakula eneo la Kiptenden, Kericho. Mshukiwa anadaiwa kumpiga babake wa miaka 45 kwa bakora mara kadhaa na kumjeruhi vibaya hali iliyochangia kifo chake. Kwa mujibu wa chifu wa eneo hilo Phillip Langat mshukiwa amekiri kutekeleza kitendo hicho baada ya kuhojiwa

Show More

Related Articles