HabariMilele FmSwahili

IPSOS:Asilimia 64 ya wakenya wanaunga mkono maafisa wa usalama  kuwepo katika maeneo ya maandamano

Asilimia 64 ya wakenya wanaunga mkono maafisa wa uslama  kuwepo katika maeneo ya maandamano. Kulingana na ripoti ya utafiti wa shirika la IPSOS kwa ushirikiano na shirika la Artcle 19 imebaini kuwa wakenya hao hujihisu kuwa salama wanapowaona polisi wakati wa maandamano. Hata hivyo asilimia 34 wanadai kuwepo kwa polisi huathiri utulivu. Kadhalika asilimia  59 ya wananchi wanafahamu kuhusu haja ya kuwahusisha polisi katika maandamano. Utafiti huo ulifanywa kati ya 25th Julai na 2nd Agosti watu 2016 wakihojiwa. Tom Wolf ni mtafiti mkuu wa IPSOS.

Show More

Related Articles