HabariMilele FmSwahili

IPSOS: Rais Kenyatta anaongoza kwa umaarufu wa asilimia 47

Rais Uhuru Kenyatta ni anaongoza kwa umaarufu taifa linapoelekea katika uchaguzi mkuu. Kulingana na utafiti wa shirika la IPSOS Rais Kenyatta anaongoza kwa asilimia 47 ya umaarufu akifuatiwa na  kiongozi wa upinzani Raila Odinga kwa asilimia 42. Hata hivyo asilimia 8 ya wakenya bado hawajaamua wanayemuunga mkono. Utafiti huo ulifanywa kati ya tarehe 11 na 23 mwezi huu.

Show More

Related Articles