HabariMilele FmSwahili

IMLU: Watu zaidi ya 700 wameuawa na polisi kati ya mwaka 2013-2017

Watu zaidi ya 700 wameuawa na polisi kati ya mwaka 2013-2017.Hii ni kulingana na utafiti wa shirika huru la kisheria (IMLU).Akizungumza katika kongamano lililowaleta pamoja mataifa ya Afrika Mashariki, Kenya, Uganda na Tanzania, mkurugenzi wa shirika hilo, Peter Kiama anasema Kenya inaongoza katika mauaji ya kiholela yanayotekelezwa na polisi pamoja na watu kupotea katika hali tatanishi hususan washukiwa wa mashtaka tofauti.

Show More

Related Articles