HabariMilele FmSwahili

Humprey Kariuki anayekabiliwa na kesi ya kukwepa kulipa ushuru arejeshewa pasi zake za usafiri

Bilionea anayekabiliwa na kesi ya kukwepa ulipaji ushuru amerejeshewa pasi zake za usafiri. Humphrey Kariuki, ambaye anashtakiwa kwa kukwepa ushuru wa zaidi ya shilingi bilioni 41, amekabidhiwa pasi hizo mbili kumruhusu kuendelea na biashara zake kimataifa.

Alipofikishwa mahakamani Kariuki alijiuzulu kama mkurugenzi mkuu wa kampuni zake zote ikiwemo kampuni ya Africa Spirits na Wow Beverages zilifungwa kwa ukiukaji wa sheria za ushuru mjini Thika.

Show More

Related Articles