HabariMilele FmSwahili

Huenda matokeo ya KCSE yakatangazwa leo

Wizara ya elimu inatarajiwa leo kutangaza matokeo rasmi ya mtihani wa kidato cha KCSE.  Ni baada ya kukamilika kusahihishwa mtihano huo Ijumaa iliyopita. zaidi ya watahiniwa 664,585 waliushiriki mtihani huo ulioanza novemba 5 na kukamilika novemba 28.Tayari waziri wa elimu balozi Amina Mohamed ameelezea imani kwamba visa vya udanganyifu wa mtihani huo mwaka huu vitakuwa vimepungua ikilinganishwa na mwaka jana.Hata hivyo itakumbukwa, mtihani wa mwaka huu uligubikwa na visa vya watahiniwa wengi kujifungua wakifanya mitihani hali ambayo wizara ya elimu inajaribu kusaka suluhu

Show More

Related Articles