HabariMilele FmSwahili

Hali ya utulivu yarejea kaunti ya Kisumu

Utulivu umerejea kaunti ya Kisumu huku biashara zikiendelea kama kawaida kufuatia maandamano yaliyoripotiwa kusababisha vifo vya watu kadhaa. Kwa mujibu wa kamishna wa eneo la Nyanza Wilson Njenga hali sawa imeshuhudiwa katika kaunti za Siaya ,Homabay na Migori. Amekanusha madai polisi walitimia nguvu kupita kiasi dhidi ya waandamanaji.

Show More

Related Articles