HabariMilele FmSwahili

Hakuna mgogoro kati ya Rais na Naibu wake asema Kanze Dena

Msemaji wa ikulu Kanze Dena amemtetea rais Uhuru Kenyatta kutokana na matamshi yake mwishoni mwa juma katika ukumbi wa Kasarani. Akiwahutubia wanahabari katika Ikulu ya Nairobi, bi Kanze aidha amesisitiza uhusiano wa rais Kenyatta na naibu wake Dkt William Ruto ungali imara akiongeza kwamba kero la rais mwishoni mwa juma lilitokana na mienendo ya viongozi kuendeleza siasa badala ya kuzingatia huduma kwa wakenya  na umoja wa kitaifa

Show More

Related Articles