HabariMilele FmSwahili

Gavana wa Nandi Stephn Sang kufikishwa mahakamani leo kujibu madai ya uchochezi

Gavana wa Nandi Stephen Sang anatarajiwa kufikishwa mahakamani leo kujibu madai ya uchochezi. Gavana Sang amekesha katika kituo cha polisi cha Sang baada ya kukamatwa jana huko Kapsabet kaunti ya Nandi. Gavana Sang anadaiwa kuwaongoza wenyeji wa Nandi kungoa majaji chai kwenye shamba la kiwari linalomilikiwa na mwanasiasa Henry Kosgey. Hata hivyo gavana Sang ametetea hatua yake akidai shamba hilo lilinyakuliwa.

Show More

Related Articles