HabariMilele FmSwahili

Gavana Ole Lenku :Jamii ya wamaasai itamuunga mkono William Ruto kugombea urais 2022

Jamii ya wamaasai itamuunga mkono naibu rais William Ruto kugombea urais ifikiapo mwaka 2022. Gavana wa Kajiado Joseph Ole Lenku anasema uamuzi huo ni kutokana na utendakazi bora ambao Ruto ameudhihirisha kwa wakenya kwa muda wa miaka sita iliopita. Akizungumza huko Oloitoktok,Lenku anasema kama jamii ya wamaasai watahakikisha Ruto analiongoza taifa hili mwaka 2022.

Show More

Related Articles