MichezoMilele FmSwahili

Fowadi wa Harambee Stars Clifton Miheso amejiunga na klabu ya Olmipico ya Ureno

Fowadi wa Harambee Stars Clifton Miheso amejiunga na klabu ya Olmipico ya Ureno.

Nyota huyo wa zamani wa AFC Leopards amesajiliwa na klabu hiyo ya ligi ya daraja la tatu.

Awali Miheso ambaye amewajibikia Harambee Stars mara 32,alikuwa anawajibikiwa Buildcon ya Zambia na Golden Arrows ya Afrika Kusini.

Club Olimpico iliasisiwa mwaka 2007 na huchezea mechi za nyumbani katika uwanja wa Campo Da wenye uwezo wa kuselehi mashabiki elfu tatu wakiwa wameketi.

Show More

Related Articles