HabariMilele FmSwahili

Passaris atishia kuchukua hatua za kisheria dhidi ya Gavana Sonko

Mwakilishi akina mama kaunti ya Nairobi Esther Passaris anatishia kuchukua hatua dhidi ya gavana Mike Sonko kwa kumdhalilisha na kumchafulia jina. Akihojiwa na kituo kimoja nchini saa chache baada ya kurejea nchini kutoka Ughaibuni, amemsuta gavana Sonko kwa kutumia madai ya uongo kumchafulia jina kwa vyombo vya habari.

Kuhusu madai ya ufisadi dhidi yake kama alivyodai Sonko, Passaris ametaka Sonko kuwasilisha ushahidi anaodai anao kwa tume ya ufisadi

Show More

Related Articles