HabariMilele FmSwahili

Dkt Hillary Barchok kuapishwa rasmi leo kama gavana mpya wa kaunti ya Bomet

Naibu gavana wa kaunti ya Bomet Dkt Hillary Barchok anatarajiwa kuapishwa rasmi leo kuchukua hatamu ya uongozi wa kaunti ya Bomet kama gavana mpya baada ya kifo cha aliyekuwa gavana wa pili Dkt Joyce Laboso.

Hata hivyo kibarua cha kwanza kwa dkt Barchok ni kumteuwa naibu mpya wa gavana baada yake kupandishwa ngazi, suala ambalo huenda likaibua mihemko ya siasa Bomet.

Show More

Related Articles