HabariMilele FmSwahili

Dereva wa trela ateketea kufuatia ajali ya barabarani Kibwezi kaunti ya Makueni

Dereva wa trela ameteketea kiasi cha kutotambulika baada ya trela lake kugongana ana kwa ana na trela lengine katika eneo la Kenani Kibwezi kaunti ya Makueni kwenye barabara kuu ya Mombasa Nairobi..Kamanda wa polisi kaunti ya Makueni Joseph Ole Napeiyan anasema ajali hiyo ilimetokea mwendo wa saa kumi na moja asubuhi hii wakati   trela moja lilikuwa likikwepa shimo katikati ya barabara. Dereva wa trela la pili lilitoka Mombasa alinusuruka na  majeraha ya kifua.

Show More

Related Articles