HabariMilele FmSwahili

Bony Khalwale ajiunga rasmi na chama cha Jubilee

Aliyekuwa Seneta wa kaunti ya Kakamega  Dkt Bony Khalwale amejiunga rasmi na chama cha Jubilee.

Khalwale ametangaza hayo katika hafla  moja  nyumbani kwake malinya ambako amekuwa mwenyeji wa Naibu wa Rais Dkt William Ruto.

Haya yanajiri baada ya chama cha Ford Kenya kumwandikia barua  kumwonya dhidi ya kuuza sera ambazo si za chama cha Ford Kenya.

Show More

Related Articles