HabariMilele FmSwahili

Bob Collymore kuendelea kuwa afisa mkuu mtendaji wa Safaricom hadi mwaka 2020

Afisa mkuu mtendaji wa safaricom Bob Collymore ataendelea kuhudumu hadi mwaka 2020. Ni baada ya bodi ya usimamizi wa Safaricom kumuongeza muda wa kuhudumu kwa kipindi cha mwaka mmoja. Safaricom pia imetangaza mpango wa kuleta huduma za mpesa Afrika. Kwa sasa wanawekeza  kuhakikisha mfumo wake unawiana na mataifa mbali mbali barani.

Show More

Related Articles