BiasharaMilele FmSwahili

Benki ya SBM yachukia rasmi umiliki wa benki ya Chase

Benki ya SBM kutoka Maruritus imechukua rasmi umiliki wa benki ya Chase ambayo imekuwa chini ya urasimu kwa miaka 2 sasa. Katika shughuli iliyohudhuriwa na gavana wa Benki kuu nchini Patrick Njoroge benki ya SBM anachukua asilimia 75 ya hisa za benki hiyo huku 25 zikisalia na Chase Bank limited. Aidha wafanyakazi 800 waliokuwa wanahudumu katika benki ya Chase wamehakikishiwa ajira yao

Show More

Related Articles