HabariMilele FmSwahili

Bei ya mafuta ya petroli yapanda kwa shilingi 3.07

Ni pigo kwa wamiliki wa magari na wakenya wanaotegemea uchukuzi wa umma baada ya bei ya mafuta ya petroli kupanda kwa shilingi 3.07. Katika bei mpya iliotangazwa na tume ya kawi nchini,mafuta taa imepungua kwa senti 34 huku ile ya dizeli ikipungua kwa senti 9. Bei hizo mpya zinaanza kutekelezwa usiku wa kuamkia leo na kuendelea kwa muda wa mwezi mmoja ujao.

Show More

Related Articles