HabariMilele FmSwahili

Ajali za barabara zaongezeka na asilimia 7 ikilinganishwa na 2017

Ajali za barabara zimeongezeka kwa asilimia saba ikilinganishwa na mwaka jana.Takwimu za mamlaka ya usalama barabarani NTSA zinaonyesha wakenya 2,214 wamepoteza maisha kupitia ajali kati ya Januari na Septemba mwaka huu.Hii ni ongezeko ya asilimia 7.4 ikilinganishwa na watu 2.053 wlaipoteza maisha kipindi hicho mwaka jana.Mkurugenzi wa usalama katika mamlaka hiyo Njeri Waithaka anasema takwimu hizi ni za kuogofya.

Show More

Related Articles