MichezoMilele FmSwahili

AFC Leopards yazindua mfumo wa kidijitali wa kuuza tiketi na kusajili wanachama

Na habari njema kutoka klabu ya AFC Leopards ni kwamba klabu hiyo kongwe nchini imezindua mfumo wa kidijitali wa kuuza tiketi na kusajili wanachama.

Mfumo huo unajulikana na kama AFC APP unatarajiwa kusaidia ingwe kukusanya mapato zaidi ili kujikimu halikadhalika kuweka uazi katika shughuli za kifedha za klabu hiyo.

Show More

Related Articles