HabariMilele FmSwahili

Waziri wa fedha kaunti ya Kisumu Nelly Achar atimuliwa afisini

Waziri wa fedha kaunti ya Kisumu Nelly Achar ametimuliwa kutoka afisini.

Uamuzi huo umeafikiwa  baada ya bunge la kaunti ya Kisumu kufanya kikao maalum ambapo jumla ya   wawakilishi wadi  37 wamepiga kura ya kumbandua afisini   huku watatu wakipiga kura ya kuzuia kumbandua.

Kwa mujibu wa mhasisi wa hoja hiyo aliye mwakilishi wadi ya Kolwa Steve Owiti,Achar ameshindwa kutekeleza wajibu wake kw akuonyesha utepetevu sawa na kupuuza kufika mbele ya kamati kuelezea sababu.

Show More

Related Articles