HabariMilele FmSwahili

Kesi ya kupinga uchaguzi wa gavana Anne Waiguru yatupiliwa mbali

Anne Waiguru atasalia kuwa gavana wa Kirinyaga. Hii ni baada ya Jaji Lucy Gitari kuamuru uchaguzi wa Waiguru ulikuwa huru. Gitari vilelevile amepuzilia mbali madai ya utoaji hongo yaliomkabili Waiguru. Ni kesi iliyowasilishwa na aliyekuwa mpinzani wake Martha Karua ambaye ametakiwa kumlipa Waiguru na tume ya IEBC shilingi milioni 5. Hata hivyo Karua anasema atakata rufaa dhidi ya uamuzi huo.

Also read:   Kamiti ya IEBC gwitetera thuutha wa gutigithia wira Lawy Aura
Show More

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker