HabariMilele FmSwahili

Rais Kenyatta kuzuru kaunti ya Mombasa leo

Rais Uhuru Kenyatta leo anatarajiwa kuzuru kaunti ya mombasa ambako atazindua rasmi bara bara ya Miritini – Mwache – Kipevu. Bara bara hiyo hiyo ilijengwa kwa lengo la kupunguza msongamano wa magari mjini humo. Gavana wa Mombasa Hassan Joho anatarajiwa kuhudhuria hafla hii baada ya kutangaza nia yake ya kushirikiana na serikali kuu kufuatia mwafaka baina ya rais Kenyatta na kiongozi wa upinzani Raila Odinga

Also read:   Maraga aongoza tume ya kuajiri majaji kukemea vitisho vya wanasiasa
Show More

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker