HabariMilele FmSwahili

Zaidi ya lita 50,000 ya pombe haramu yaharibiwa Meru Kusini

Zaidi ya lita 50,000 ya pombe haramu yaharibiwa katika eneo la Meru Kusini kwenye oparesheni iliyoongozwa na kamishna wa Tharaka Nithi Muthomi Njuki. Pombe iliyoharibiwa ilikuwa haina idhini ya shirika la kukadiria ubora wa bidhaa kebs hyku wamiliki wake wakikosa kuanzigatia viwango vilivyowekwa. Njuki anasema kemikali hatari zimetumika katika maandalizi ya pombe hiyo ikiwemo ile ya Fomalin.

Also read:   Madhila ya pombe : Muathiriwa apoteza uwezo wa kuona na kuishia katika uchochole
Show More

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker