HabariMilele FmSwahili

DPP Noordin Haji kuhojiwa na kamati ya seneti kuhusu sheria leo

Mkurugenzi mkuu wa mashtaka ya umma Noordin Haji atakuwa akifika mbele ya kamait ya seneti kuhusu sheria hivi leo kuelezea mikakati ambayo afisi yake imeweka kukabiliana na ufisadi. Mwaliko huu unakujia huku afisi hiyo ikiangaziwa zaiid kaitika mchakato wa kupambana na ufisadi katika asasi mbalimbali. Hajji amekuwa akielezea kujitolea afisi hiyo kuimarisha vita vya ufisadi.

Also read:   Washukiwa 20 wa sakata ya NYS waliokamatwa leo kufikishwa mahakamani
Show More

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker