HabariMilele FmSwahili

COTU yapinga uteuzi wa Julis Karangi kama mwenyekiti wa NSSF

Muungano wa kitaifa wa wafanyikazi COTU sasa umepinga vikali kuteuliwa kwa Julius Karangi kama mwenyekiti wa bodi ya wadhamini wa hazina ya malipo ya uzeeni NSSF. Naibu katibu mkuu wa COTU Ernest Nadome ametilia shaka uteuzi wa Karangi akidai hautawafaa wafanyikazi nchini. Kulingana na Nadome serikali inanuia kumbandua katibu mkuu wa COTU Francis Atwoli kutoka bodi ya NSSF kupitia uteuzi huo

Also read:   Atwoli re-elected unopposed as secretary general for 4th term
Show More

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker