HabariMilele FmSwahili

Viongozi Ukambani wataka gavana Mutua na Kalonzo kuzika tofauti zao

Viongozi wa kisiasa na kidini kutoka jamii ya wakamba sasa wanamtaka kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka kuzika tofauti zake na gavana wa Machakos dkt Alfred Mutua. Wakiongozwa na aliyekuwa mbunge Joe Mutambo viongozi hao wanasema sharti Kalonzo kushirikiana na dkt Mutua kwa manufaa ya watu wa jamii hiyo. Wakizungumza huko Machakos viongozi hao pia wamemtaka Kalonzo kutangaza msimamo wake wa kisiasa na kutoa mwelekeo kwa jamii hiyo.

Also read:   Serikali imetenga bilioni 60 kutatua tatizo la maji Ukambani
Show More

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker