HabariMilele FmSwahili

Elachi : Hatutaruhusu utezi wa Miguna kama naibu gavana wa Nairobi

Hatutaruhusu uteuzi wa wakili Miguna Miguna kuhudumu kama naibu gavana kaunti ya Nairobi.Ni usemi wake spika wa bunge la Nairobi Beatrice Elachi kwenye mahojiano na kituo kimoja akisema kuwa hawatamwidhinisha hadi uraia wake Miguna udhibitishwe. Elachi hata hivyo amedhibisha kupokea barua ya kuteuliwa kwa Miguna kutoka kwa gavana wa Nairobi Mike Sonko. Naye wakili wake Miguna Cliff Ombeta pia anasema amepokeza Miguna barua ya uteuzi wake japo akaomba muda wa kupitia na kufanya maamuzi yake. Wakili Ombeta anasema haoni chochote cha kumzuia Miguna kuchukua nafasi hiyo.

Also read:   DP Ruto directs police to unravel the perpetrators of City violence
Show More

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker