HabariMilele FmSwahili

Miguna Miguna hatarejea nchini kama ilivyotarajiwa

Wakili na mwanaharakati Miguna Miguna hatarejea nchini leo kama ilivyotarajiwa. Katika taarifa Miguna anasema ameahirisha ujio huo akiishutumu idara ya uhamiaji kwa kudinda kumkabidhi pasipoti yake kama ilivyoagiza mahakama. Miguna pia amewaagiza mawakili wake hapa kurejea mahakamani kulalamikia kile anadai ni hatua ya serikali kuendelea kupuuza maagizo ya mahakama

Also read:   Mwanaume aliyempiga risasi muuguzi kusalia rumande kwa wiki mbili
Show More

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker