HabariMilele FmSwahili

Serikali yawataka wanaoishi karibu na bwawa la Masinga kuondoka

Serikali imewataka wanaoishi maeneo ya chini ya bwawa kubwa la Masinga kaunti ya Machakos kundoka kabla ya serikali kufungua bwawa hilo lililofurika ili kuzuia kuvunja kingo zake. Waziri wa kawi Charles Keter alisema tayari bwawa hilo limejaa na huenda likavunja kingo zake iwapo maji hayo hayatapunguzwa. Wengine watakaoathirika ni wale walio kaunti za Lamu Garissa na sehemu za Mbeere huko Embu.

Also read:   Kuyo: Menare nejingaki ilarikok le serkali kitok siasa e ward Olposimoru
Show More

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker