HabariMilele FmSwahili

Rais Kenyatta kuhutubia kikao cha pamoja cha bunge la 12 tarehe 2 Mei

Rais Uhuru Kenyatta atahutubia kikao cha pamoja cha bunge la 12 Jumatano tarehe mbili mwezi Mei. Akitoa taarifa hiy bungeni spika Justin Muturi anasema katika mkao huo rais atatoa ripoti ya utendakazi wa serikali yake na mafanikio ambayo amefikia tangu alipochukau hatamu.

Also read:   Rais Uhuru amekutana na KNUT na TSC

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker