HabariMilele FmSwahili

Mwendazake Kenneth Matiba kufanyiwa ibada za wafu za umma tarehe 25 na 26 mwezi huu

Mwanasiasa mkongwe mwendazake Kenneth Matiba atafanyia ibada mbili za wafu za umma tarahe 25 na 26 mwezi huu. Kamati andalizi ya mazishi hayo imekubaliana na familia ya Matiba kwamba ibada ya wafu inayohusisha umma hapa Nairobi itafanyika katika kanisa la all saint cathredral na ingine katika uwanja wa michezo wa Ihura kaunti ya Muranga. Msemaji wa serikali Eric Kirathe anasema maandalizi bado yananelea na tarahe ya mazishi itakuwa inatanagzwa hivi karibuni

Also read:   Veteran politician  honoured by Muranga County

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker