HabariMilele FmSwahili

Gavana Lee Kinyanjui ahidi kurejesha ardhi za umma zilizonyakuliwa

Gavana wa Nakuru Lee Kinyanjui ameahidi kuanzisha msako wa kurejesha ardhi za umma zilizonyakuliwa. Anasema katika muda wa siku 2 zijazo wataanza kufungua mitaro ya kupitisha maji taka katika mji wa Naivasha. Amewataka waliojenga vibanda kwenye ardhi hizo kuvindoa mara moja.

Anasema wanaendelea kuwasiliana na mamlaka ya barabara kuu KENHA kuhusu sehemu iliyogawanyika huko Mai Mahiu ambako shughuli za usafiri zimeathirika.

Also read:   Arumiriri a ndini ya Rastafari kuhoya akenya guthingata thayu

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker