HabariMilele FmSwahili

Rais Kenyatta kuanza ziara ya Juma moja London Uigereza

Rais Uhuru Kenyatta anaanza rasmi ziara ya juma moja huko London Uingereza. Katika ziara hiyo, rais anatarajiwa kujadili masuala ya uchumi na agenda ya maendeleo chini ya serikali, ikiwemo utekelezaji wa agenda zake nne kuu na washirika mbalimbali. Rais pia atahudhuria mkutano wa mataifa ya jumiya ya madola mnamo Alhamisi.

Also read:   Rais kuzindua rasmi treni ya kisasa ya abiria leo

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker