HabariMilele FmSwahili

Viongozi mbali mbali waendelea kuomboleza kifo cha Kenneth Matiba

Viongozi tofauti leo wanatarajiwa kuendelea kutuma risala zao kufuatia kifo cha mwanasiasa Kenneth Matiba aliytefariki hapo jana akipokea matibabu katika hospitali ya Karen. Rais Uhuru Kenyatta alikuwa miongoni mwa viongozi wa kwanza kutuma risaala zao akimtaja akisema taifa limepoteza kiongozi shupavu aliyekuwa na mchango mkubwa hasa katika kulainishwa siasa na uongozi wa nchi. Mwili wake Matiba umehifadhiwa katika chumba cha Lee hapa Nairobi.

Also read:   Rais mstaafu Mwai Kibaki aitembelea familia ya mwendazake Kenneth Matiba

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker