HabariMilele FmSwahili

Mwenyekiti wa IEBC Wafula Chebukati kuandaa mkao na makamishna wa IEBC leo

Mwenyekiti wa IEBC Wafula Chebukati leo ataanda mkao na makamishna wa IEBC kutatua tofauti zilizoibuka baada ya kumpa likizo ya lazima afisa mkuu mtendaji wake Ezra Chiloba. Awali mahakama ilipinga ombi la Chiloba kutaka kubatiliwa kwa uamuzi huo.yadaiwa ni makamishna 3 walioshiriki mkao ulioafikia uamuzi wa kumpa Chiloba likizo kinyume na 5 wanaohitajika kisheria.

Also read:   CORD vows to continue its pursuit to eject IEBC officials from office

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker