HabariMilele FmSwahili

Jaji William Ouko ndiye rais wa mahakama ya rufaa

Jaji William Ouko ndiye rais wa mahakama ya rufaa. Jaji Ouko anachukuwa mahala pa jaji Paul Kariuki Kihara aliyependekezwa na rais Kenyatta kuhudumu kama mkuu wa sheria. Idara ya mahakama pia imemchagua jaji Mohamed Warsame kama mwakilishi wake katika tume ya huduma za mahakama

Also read:   Mpiga kura awasilisha kesi kupinga kujumuishwa kwa wagombea wote katika marudio ya uchaguzi
Show More

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker