HabariMilele FmSwahili

Viongozi wa wanafunzi wa vyuo tofauti nchini watishia kushiriki mandamano

Viongozi wa wanafunzi kutoka vyuo tofauti kikiwemo chuo kikuu cha Moi  wametishia kushiriki mandamano kufuatia mugomo unaoendelea wa wahadhiri na wafanyikazi wa vyuo hivyo. Wakiongozwa na katibu wa wanafunzi katik chuo cha Moi Moses Khisa   wameonya endapo serikali haitatafuta mwafaka kwa mgomo huo ambao umezidi kuathiri masomo, wanafunzi wengi hawataku na la ziada ila kushiriki mandamano.

Also read:   Wanafunzi wa unesi waandamana
Show More

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker