HabariMilele FmSwahili

Alfred Keter akata rufaa dhidi ya uamuzi wa mahakama kubatili ushindi wake

Aliyekuwa mbunge wa Nandi Hills Afred Keter amekata rufaa dhidi ya uamuzi wa mahakama uliyobatili ushindi wake. Keter anasema mahakama haikutoa uamuzi huo kwa uwazi. Wakati huo aliyekuwa anawania ugavana Migori, Ochillo Ayacko naye pia amefika mahakamani kupinga uamuzi ulioridhia ushindi wa gavana Okoth o Obado. Mahakama ilidai Ayacko ambea alikuwa muaniaji huru hakutoa ushahidi wa kutosha kubatilisha ushindi wake

Also read:   Gavana Ole Lenku apata afueni baada ya mahakama kuamua alichanguliwa kwa njia huru na haki
Show More

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker